Hi admin, naitwa Dennis. I was brought up by a single parent na - TopicsExpress



          

Hi admin, naitwa Dennis. I was brought up by a single parent na mamangu akamake sure amenilea na maadili mema. She tought me how to fear and serve God. Nikaenda shule with the teachings of my mum still in my mind na kila sunday sikukosa kanisa. Form 3 nikakuwa leader wa CU na nikaongoza watu wakaokoka. Sasa niko campu na ninashida kubwa sana. Society dictates differently. Kwanza mimi nililelewa kwa kanisa na sijazoea kuona wanawake wakiwa nusu uchi. Hapa UON, wanawake wanavaa nguo fupi mpaka unaeza ona sehemu zao za siri. Ninashindwa hata nitasoma vipi coz nahisi kumkosea Mungu wangu. Kusema kweli, naomba mwenyezi Mungu abadilishe Nairobi iwache kuwa mahali pa shetani coz sina la kufanya. Wanawake wananitaka nilale nao na hatujaoana. Tafadhali kama mnahisi kama mimi niambieni
Posted on: Thu, 27 Jun 2013 08:52:53 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015