Hongereni wamarekani kusheherekea siku ya mtetea - TopicsExpress



          

Hongereni wamarekani kusheherekea siku ya mtetea wanyonge wa marekani 1963,,,,,,,,,,,hotuba ya martin luther king junior,,,na speech yake ya " i have a dream" ,,,,,,, naaaamin hata kwa mataifa mengine ambayo bado yana kasumba ya ukandamizaji, ubaguzi,, unyonyaji na uuuwaji wa raia wao kwa kudai haki zao utafika mwisho,,,,hasa serikali ya tanzania
Posted on: Wed, 28 Aug 2013 11:35:50 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015