Huwa najiuliza lakini sipati majawabu..ya ile hofu ya Watanzania - TopicsExpress



          

Huwa najiuliza lakini sipati majawabu..ya ile hofu ya Watanzania ya kuburuzwa na nchi wanachama wa EAC kabla ya kuamua kujiunga na umoja huu ndivyo inavyojidhihirisha sasa? inakuaje Kenya,Uganda,Rwanda na Burundi kufanya vikao fulanifulani na kufikia maamuzi ya pamoja juu ya kuinua chumi zao km maamuzi waliyofikia ya upanuzi wa Bandari ya Mombasa na ujenzi wa reli toka mombasa,Uganda hadi rwanda pasipo kuishirikisha Tanzania?.Watanzania bado tuna haja ya kujivunia Umoja huu??
Posted on: Wed, 04 Sep 2013 18:12:13 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015