Huyu Mwanafunzi anastahil asome darasa gani??? EGEMEA KITI - TopicsExpress



          

Huyu Mwanafunzi anastahil asome darasa gani??? EGEMEA KITI CHAKO NA PUNZISHA KICHWA KIDOGO Mwl. Hadija Alikuwa anapata shida na mwanafunzi wake mvulana wa darasa la kwanza Mwl; Una matatizo gani wewe mvulana? Mwanafunzi; Nina akili sana si staili kuwa darasa la kwanza. Maana Dada yangu yupo la 3 lakini nina akili kuliko yeye nastaili kuhamia darasa la 3 Jibu hilo lilimtosha mwalimu Hadija kwani alishachoshwa kwa muda mrefu na mvulana huyo na hivyo hakutaka maelezo zaidi ya kumpeleka kwa mwl. Mkuu na kumwelezea kila kitu. Hivyo Mwl. Mkuu akasema ngoja nimuulize maswali maswali ya darasa la 3 akishindwa arudi darasani na akae kwa adabu. 1. Mwl Mkuu; 3X3 Mwanafunzi; 9 2. Mwl Mkuu; 6X6 Mwanafunzi; 36 3. Mwl mkuu aliendelea kuuliza maswali mbali mbali ya darasa la 3 na mvulana Yule alijibu maswali yote sawa sawa. Mwanafunzi; Je Mwl mkuu utaniruhusi nihamie darasa la 3? Mwl Hadija; Ngoja nimuulize maswali machache kwanza ndo nikubali aende darasa la tatu a) Mwl Hadija; kauliza, nini ng’ombe anazo nne mimi nina mbili tu? Mwanafunzi baada ya kufikiria kidogo akajibu. Mwanafunzi; Miguu b) Mwl Hadija; Nini ipo kwenye nguo zako za ndani ambacho mimi sina Mwanafunzi; Mifuko c) Mwl Hadija; Sasa nakuuliza ya kiingereza Mwanafunzi; Sawa Mwl. d) Mwl Hadija; What starts with a C and ends with a T, is hairy, oval,and delicious and contains thin whitish liquid? Mwanafunzi: Coconut e) Mwl Hadija; What goes in hard and pink then comes out soft and sticky? Mwl Mkuu akaanza kuangalia kwa mshangao ulochnganyika na hofu lakini hakuweza kumzuia Yule mvulana kwani amekua akijibu maswafi kwa ufasaha na kwa haraka Mwanafunzi : Bubblegum f) Mwl Hadija; What does a man do standing up, a woman does sitting down and a dog does on three legs? Mwl mkuu akaanza kuangalia kwa kuchukia lakini mwanafunzi alishajibu Mwanafunzi: Shake hands Mwl Hadija; Sasa nakuuliza yale maswali ya “mimi ni nani”, lakini kwa kingereza. Sawa? Mwanafunzi: Sawa Mwl. g) Mwl Hadija; You stick your poles inside me. You tie me down to get me up. I get wet before you do. Mwanafunzi : Tent h) Mwl Hadija; A finger goes in me. You fiddle with me when youre bored. The best man always has me first. Mwl mkuu akanza kuhangaika na kusumbuka na kujifanya anaangalia mbali kabisa Mwanafunzi ; Wedding Ring i) Mwl Hadija; I come in many sizes. When Im not well, I drip. When you blow me, you feel good. Mwanafunzi; Nose • Mwl Hadija; I have a stiff shaft. My tip penetrates. I come with a quiver. Mwanafunzi ; Arrow j) Mwl Hadija; What word starts with a F and ends in K that means lot of heat and excitement? Mwanafunzi ; Firetruck k) Mwl Hadija; What word starts with a F and ends in K & if u dont get it u have to use ur hand. Mwanafunzi ; Fork l) Mwl Hadija; What is it that all men have one of its longer on some men than on others, the pope doesnt use his and a man gives it to his wife after theyre married? Mwanafunzi ; SURNAME m) Mwl Hadija; What part of the man has no bone but has muscles, has lots of veins, like pumping, & is responsible for making love? Mwanafunzi ; HEART. n) Mwl Hadija; Nimemaliza Mwl Mkuu Mwl Mkuu akapumua kwa punziko kama mtu aliyetua mzigo mzito sana wa gunia la chumvi aloubeba kwa muda mrefu, Efhuuuu!! Na kumwambia Mwalimu hadija Huyu mtoto mpelekeni Chuo kikuu maana mimi mwenye Diploma nimepata swali moja tu (la kwanza)!
Posted on: Thu, 24 Oct 2013 04:28:54 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015