Huyu 成龍 Jackie Chan na Jet Li naona walivyoenda marekani - TopicsExpress



          

Huyu 成龍 Jackie Chan na Jet Li naona walivyoenda marekani wamekuwa wakitoa movie mbaya mbaya tu hata hazina mvuto ukilinganisha na za wakati ule bado wako kwao China movie kama Accidental spy, bodyguard from beijing, my father is a hero etc yani kuanzia story, camera movement, the stunts are like real ones. yani hata leo ukizichek movie zao za long una enjoy, mimi binafsi sizipendi hizi za amerika wanazoektia yani uongo uongo ila wanawazidi bongo movie. Ni sawa na bongo movie waende naijeria watoe movie na wajisifie imetokea naijeria wakati huko nako ni miyeyusho tu yani rangi, camera movement, stori etc unakuta ni mauongo hadi wanaboa. MSIKASIRIKE JAMAA WA BONGO MOVIE NI CHALENJI TU, NAAMINI MNAWEZA TOA MOVIE AMBAPO MTU AKAWA NA HISIA YANI KAMA NI YA KUUDHI HADI MTAZAMAJI AKAUDHIKA AU KUTISHA HADI MTIZAMANI AKATISHIKA, yani ni kama vile jambazi anaingia ndani kaziba sura na chini yuko peku, ongeeni na wenye lokesheni muakti real maana inaonekanaga mtu eti yuko kwake ila kavaa suti au jeans muda wote hata jikoni hagusi, hata toilet haendi yani unashangaa mtu yuko kwake ila unaona kama anaigiza na kustukia sio kwake.
Posted on: Sun, 27 Oct 2013 17:07:12 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015