Hv mtu anaiba mabilion kwny benki ya dunia halafu wanakula na - TopicsExpress



          

Hv mtu anaiba mabilion kwny benki ya dunia halafu wanakula na familia yake then twiga wetu ndo wana2mia kulipia madeni waliyo2mia wao na jamaa zao?Vilevile zisipolipwa kwa fidia ya twiga basi mkulima atakandamizwa mpaka atailipa bila kujua.Tena nikumbushe umati wa wanafunzi wapate kufikiri kidogo hv mtoto wa mheshimiwa Rais aliyemaliza kdato cha nne (2011)na kupata daraja la nne la ufaulu yuko wapi?fikiria kwa umakini ndipo utatambua.
Posted on: Mon, 10 Jun 2013 12:24:18 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015