INGEKUA VIPI???? Halima kasheshe na Nash emcee wangekua kaka na - TopicsExpress



          

INGEKUA VIPI???? Halima kasheshe na Nash emcee wangekua kaka na dada?????? Kwanza kasheshe angeitwa chiku na Nash angeitwa kitunda, wangekua wanakaa bagamoyo uko....Baba yao angekuwa mganga wa kienyeji na mama yao angekua mpika gongo maarufu sana....kitunda angekua anamsaidia baba yake kuuguza watu na kuchimba dawa na chiku angekua anamsaidia mama yake kupika gongo na kuuza kwenye kilabu yao..... Wakaka wangekua wanajaa sana kwenye kilabu cha gongo ya kina chiku sababu ya mtoto mzuri chiku na wadada wangekua wanajaa sana kwa baba yake kitunda (mganga) kwa ajili ya HB NASH CHIZI! Siku moja chiku ataondoka na wateja wao nyumbani kwao ili akawape GONGO grade one, basi wakiwa njiani kitunda atawaona atahisi wanaondoka na dada yake....jamaa akakurupuka na mshale wake unajua n nn kilitokea????????? hehehehehehhehehe subiri part twooooo
Posted on: Mon, 29 Jul 2013 09:34:59 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015