Ilipoishia Wakati napakia mizigo kwenye gari nilisikia Happy na - TopicsExpress



          

Ilipoishia Wakati napakia mizigo kwenye gari nilisikia Happy na mama yake wanabishana nilivyosikiliza vizuri nikasikia Happy anamwambia mama yake anajisikia vibaya awapeleke shule kesho yake mama yake akawa anagoma Endelea Hadi namaliza kupakia mizigo ya wale mabinti kwenye gari Happy na mama yake walikuwa bado hawajaelewana nikaingia ndani na mimi nikasikilize kinachoendelea Nilivyoingia yule mama akaniambia Cox si unamuona huyu mtoto alivyo mjinga leo imefika siku ya kwenda shule ameanza kuekti anaumwa eti anasema leo walale niwapeke kesho nikamwambia Happy mdogo wangu we jitahidi tu msikilize mama yako kajiandae tuwapeleke msipoenda leo shule walimu wenu hawatawaelewa sababu hamjaomba hata ruhusa mda huo yule mdogo wa Happy alikuwa ameshajiandaa tuliyekuwa tunamsuiri Happy tu yule mdogo wa Happy akadakia yale maongezi akasema Happy mimi namjua hapo haumwi wala nini hataki tu kwenda shule kashazoea kupiga stori na kaka Cox kashazoea kuangalia Movie anaona akienda shule yote hayo yatampita Nilivyosikia maneno ya yule mdogo wa Happy nikastuka kidogo alivyosema na mimi pia nachangia kumfanya Happy agome kwenda shule nikaanza kuhisi yule mdogo wa Happy atakuwa anajua kinachoendelea kati yangu mimi na Happy Baba yake Happy alikuja pale sebuleni akakuta yale mabishano akauliza vipi jamani mbona kama kuna ugomvi?? Mke wake akamjibu Si huyu mwanao Happy hataki kwenda shule mda wote huu tunambembeleza wala hatuelewi anasema anataka aende kesho Baba yake Happy kusikia vile akatumia ukali ndo Happy akasimama pale kwenye kochi akaenda kujiandaa Happy alimuogopa sana baba yake kuliko mtu yyte kwenye ile nyumba yule mzee hata mimi nilikuwa namuogopa sana alikuwa siriasi sana Happy alimaliza kujiandaa tukaingia ndani ya gari safari ikaanza pale nyumbani alibaki housegirl na walinzi tu Yule mama ndo alikuwa anaendesha gari tukamuacha yule mume wake kazini kwake sisi tukawapeleka wakina Happy shule njia nzima Happy alikuwa kanuna hataki kuongea na mtu macho yange yalikuwa mekundu machozi yalikuwa yanamlenga sababu alilazimishwa kwenda shule siku ile yeye alikuwa hataki Mimi nikawa nahisi Happy alikuwa anakataa kwenda shule ile siku sababu usiku niligoma kumfungulia mlango nikajua tu siku ile alitaka asienda shule hadi nimpe dozi Tuliwafikisha shuleni kwao mimi nikawasaidia mabegi hadi hostel kwao yule mama akabaki ndani ya gari niliwafikisha hadi mlangoni nikawaaga Happy na mdogo wake wakati naondoka Happy akaniita akaniambia kaka Cox hebu subiri kuna kitu nikuambie akamuacha mdogo wake pale mlangoni akanikimbilia mimi nikawa nasubiri nisikie hicho kitu anachotaka kuniambia alivyofika akaniambia Cox ulivyonifanyia jana usiku sio vizuri na hata leo nilivyokuwa nagoma kuja shule yote ni kwa ajili yako Nilivyoona kaanza zile stori nikamkatisha nikamwambia tutaongea ukirudi nyumbani mama ananisubiri getini pale atakasirika nikamuacha Happy kasimama nikaanza kuondoka alibaki ananiangalia hadi natoka pale getini Nilimkuta yule mama aninisubiri ndani ya gari akaniambia Cox kazini mimi leo nitaenda mchana sasa hivi twende kule Hotelini kwa siku ile tukitoka pale nikupeleke huko kwenye chuo cha udereva mimi niende kazini nilibaki nashangaa sikuelewa Hotelini tunaenda kufanyaje Itaendelea Leo saa 2 usiku GONGA LIKE KAMA UMEIPENDA HII STORY
Posted on: Sat, 19 Oct 2013 10:08:18 +0000

Trending Topics



">
Armando Romeo, thanks for the nomination. I accepted ur challenge,
National Public Seating 1300 Series Steel Frame Upholstered

Recently Viewed Topics




© 2015