Imagine messages za MPESA zingekua zikikuja kighetto - TopicsExpress



          

Imagine messages za MPESA zingekua zikikuja kighetto stylo.. ungepata sms kama hizi. DM75EC927 Hii story imeconfirmiwa.Umerecieve brambo mbao soo basa (Ksh 20,700.00) from man khillar 07228388771 on 23/5/13 githaa ya 01:30 maafteh. MPESA balance yako pyamu ni brambo njere soo basa na tujongo tutatu (Ksh.20,703.00) Kuna hii vako ya kusave na kuget kiloan kwa ile form ya Mshwari...Thanxjoh kwa ku-use Saf the Mambo bad Option · Na ya okoa jahazi je? Buda ii stori haileti shangwe, una2lenga sana, lipa deni yako ya okoa jahazi, kinde (KSH.10) by kesho ngware.Hakuna mbrrr
Posted on: Thu, 03 Oct 2013 07:19:42 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015