Ivi mapenzi ni upofu au tuyaite ibilisi. maana ibilisi amekamata - TopicsExpress



          

Ivi mapenzi ni upofu au tuyaite ibilisi. maana ibilisi amekamata hisia zetu anatutumikisha apendavyo.. Kuna mrembo mmoja yupo jijini hapa namfahamu kwa karibu sn anaishi na virus vya ukimwi yapata miaka mitatu sn tangu nmemfahamu.. sasa huyo mrembo kwa jinsi uzuri wake ulivyo wanaume wengi wanamsumbua saana Ila yy aliamua kujitangaza kwa jamii kuwa anaishi na virusi vya ukimwi. lkn ee bwana watoto wa kiume haoni hawasikii wako nae bega kwa bega kwa urembo alio nao binti.... Je Tanzania bila ukimwi itawezekana kweli??
Posted on: Tue, 20 Aug 2013 15:19:49 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015