JAMAA YUPO KWENYE INTERVIEW: HAYA MAJIBU YAKE KAZI ATAPATA - TopicsExpress



          

JAMAA YUPO KWENYE INTERVIEW: HAYA MAJIBU YAKE KAZI ATAPATA KWEEELI??? 1. Swali: Ilikuwaje ukaacha kazi yako ya zamani? Jibu: Mabosi walikuwa wazinguaji sana na nyodo zao ni za hali ya juu kumbe vidudumtu tu. 2. Swali: Tuambie tatizo lolote ambalo ulishawahi kupata mahali ukiwa unafanya kazi kutokana na mfanyakazi mwenzako na jinsi uluvyopenda litatuliwe. Jibu: Kuna jamaa aliwahi kunisingizia nimeiba kazini. Niliomba wote tufukuzwe kazi Mimi na yeye. 3. What are your hobbies and interests? Jibu: Well, you know! Am young and handsome and when I get the job I will have money and I love chics. So you know. 4. Why should we hire you? Kwa nini tukuajiri wewe na si mwingine? Jibu: Well, unajua since the time I was at the university, mimi ni mtu wa party sana. Kwa hiyo kwa timu yenu ya events mimi nitakuwa asset nzuri sana. (WTF?!!!!) 5. Swali: Una swali lolote kwetu au kwa yeyote kati yetu? Jibu: Yes. Kama wewe hapo ungekuwa wimbo wa Bongo Fleva, ungekuwa wimbo gani? au Mngependekeza nifanye nini kama mvua inanyesha, usafiri shida na muda wa kufika kazini umefika bado sijafika? 6. Swali: Kwa nini unahitaji hii kazi? Jibu: Ninyi hamuoni maisha yalivyopanda bei jamani? au Baba kaniambia ni kazi nzuri. 7. Swali: Kwa nini unataka kufanya kazi kwenye kampuni yetu? Jibu: Mimi nataka hela tu jamani, wala nisiwadanganye., au Nimeona tu tangazo lenu Facebook nikasema ngoja nijaribu bahati yangu. 8. Unataka kuanza lini kazi? Jibu: Ngoja kwanza niwasiliane na ndugu zangu halafu ntawaambia.
Posted on: Sat, 20 Jul 2013 22:42:33 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015