JATWIGIE...VIPI..waatinda ata ,mjadala..industrial court - TopicsExpress



          

JATWIGIE...VIPI..waatinda ata ,mjadala..industrial court imewamrisha waalimu waachane na mgomo na warudi job hiyo kesho,,pia imeagiza wizara ya labour iunde committe ya kufanya dialogue na waalimu na wapeane ripoti by july 15th ili kupata lasting solution ya hii story..pia makamu wa rais amewaomba waalimu waheshimu uamuzi wa mahakama; lakini kwa upande wa walimu nao, wameapa kuendelea na mgomo wao mpaka wapate haki yao..unawashauri aje walimu wetu?mbita wa kabete.
Posted on: Mon, 01 Jul 2013 18:01:23 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015