JIRANI WA RIDHIWANI KIKWETE AVAMIWA. Katikati Mwa Week Hii - TopicsExpress



          

JIRANI WA RIDHIWANI KIKWETE AVAMIWA. Katikati Mwa Week Hii Pamekuwa Na Vuta Nikuvute Na Kamatakamata Kwa Walinzi Na Hata Majirani Wakazi Wa Maeneo Kuzunguka Sheli Iliyopo Jirani Na Ile Inayomilikiwa Na Mtoto Wa Raisi Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania ,ndg Jakaya Mrisho Kikwete Kufuatia Majambazi Kuvamia Sheli Hiyo Majira Ya Saa Nane Usiku Na Kuondoka Na Fedha Taslimu,shilingi Milioni Moja Unusu . Hata Hivyo Ktk Suala La Kushtusha Na Kusikitisha...Pamekuwa Na Tetesi Kwamba Uvamizi Huo Uliwezeshwa Na Mmoja Wa Walinzi Wa Sheli Hiyo Ambaye Alipohojiwa Kufuatia Tukio Hilo Alikiri Kuwaingiza Majambazi Hao Usiku Huo Wa Saa Nane Ambao Baadae Waliwakamata Walinzi Na Kuwashurutisha Wawezeshe Upatikanaji Wa Hela Shelini Pale. Sheli Hiyo Inapakana Na Ile Inayomilikiwa Na Mtoto Wa Raisi Wa Jamhuri Ya Muuungano Wa Tanzania Ridhiwani Kikwete.
Posted on: Fri, 23 Aug 2013 16:25:31 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015