Jamaa flani alichukua malaya usiku akaenda nae kwa lodge.Kufika - TopicsExpress



          

Jamaa flani alichukua malaya usiku akaenda nae kwa lodge.Kufika malaya akavua nguo zote akaweka kabatini kisha akapanda kitandani. Jamaa akashtuka kuona yule malaya ameweka bastola kitandani...akamuuliza,"Hii nayo ya nini?" Malaya akajibu,"Wanaume wenginewashenzi! Wanakuvuruga usiku kucha alafu asubuhi wanakupa 2000/= tu,zitakusaidia nini?" Jamaa akatetemeka akaanguka chini kwa mshtuko na kupoteza fahamu.Malaya alipompekua akakuta mfukoni alikuwa na 100/= tu!
Posted on: Sun, 06 Oct 2013 17:23:52 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015