Jamaa kagombana na mkewe.Kasusa kula,kurudi kazini kamkuta mkewe - TopicsExpress



          

Jamaa kagombana na mkewe.Kasusa kula,kurudi kazini kamkuta mkewe kavaa kanga imeandikwaUkisusa wenzio walailipofika asubuhi mke kavaa kanga imeandikwaukitoka mwenzio anaingia Jamaa akagoma kwenda kanzini. Mke akavaa kanga imeandikwa hamniwezi nimemzibiti ndio mana hatokiJamaa akaenda kuomba ushauri kwa rafiki yake akamwambia twende nyumbani.Walipofika wakamkuta kavaa kanga imeandikwaulizan rafiki yako kumbe adui yako.Chezea kanga za chavda weeee.♡♥
Posted on: Thu, 14 Nov 2013 11:29:20 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015