Jamaa kenda kwa Mwenyekiti wa serikali za mtaa akiwa na mke - TopicsExpress



          

Jamaa kenda kwa Mwenyekiti wa serikali za mtaa akiwa na mke wake... JAMAA : Mke wangu hataki kunipa unyumba hebu ongea nae, nimekuja nae. MJUMBE: Hebu muite, we kaa nje ya ofisi niweze kumsikiliza JAMAA : Poa mkuu MJUMBE: Haya mama kunani tena huko mzee unamnyima unyumba? MKE: Asubuhi naondoka nyumbani sina senti tano nachukua kibajaji mpaka kazini nikimwambia dreva sina hela, ananiuliza sasa utanilipa badae au? Mi nakubali au. Nakuwa hapo nimechelewa kazini, nikifika huko bosi anasema sasa umechelewa nikufukuze kazi au? Mi nachagua au, jioni narudi nyumbani tena mwenye kibajaji ananiuliza unalipa au? nakubali au, sasa nakuwa nimechoka mzee akitaka namnyima. MJUMBE; Dah hiyo stori ya kusikitisha, sasa tumwambie mumeo au? Gmb
Posted on: Fri, 13 Sep 2013 18:47:07 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015