Jamani Watanzania wenzangu nawaomba tuwapo vyuoni tupunguze - TopicsExpress



          

Jamani Watanzania wenzangu nawaomba tuwapo vyuoni tupunguze kumeza,unamkuta mwanafunzi kamaliza IT mwaka wa tatu, anaenda kazini na boss anamwagiza akatoe HDD Mbovu kwenye computa za kampuni anampigia mwalimu wake wa chuo amwambie maana yake na wala hajawai kuziona na mwanafunzi cheti chake kina distinction.......hata mabozi punguzeni kumeza kazi, unamkuta boss naye anasema mbona mwaka juzi tulifanya hivi do!! hivi Tanzania enaelekea wapi kwa mtindo huu
Posted on: Wed, 19 Jun 2013 19:32:18 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015