Jamani haya ni baabdhi ya mashairi ya wimbo ujao uitwao SALAMU ZAO - TopicsExpress



          

Jamani haya ni baabdhi ya mashairi ya wimbo ujao uitwao SALAMU ZAO wa NAY wa MITEGO "Mie ndo rais wa manzese yule tozi kasanda Mchomvu wape salamu kubum kubaa waambie game imebadilika Mie rafiki wa Lowassa elfu mbili kumi na 5 ndo nampigia kampeni Na salamu kwa kanumba na ngwea siku ya msiba michango yao watu wamenunua magari na nyumba mkizingua nawataja ... Ridhiwani mwambie baba ako wamakonde awataki korosho wanataka gesi Salama kwa madam lita walter chilambo kapigika kma zamani million hamsini ziko wapi"
Posted on: Thu, 01 Aug 2013 20:39:28 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015