Jana nilisoma habari moja anayowahusu TRA. Kwa mujibu wa habari - TopicsExpress



          

Jana nilisoma habari moja anayowahusu TRA. Kwa mujibu wa habari hiyo Wamiliki wa BLOGU kote nchini watatakiwa kulipa kodi TRA. Mimi Mnyasa andunje wa fikra namiliki Blogu mwaka wa 7 sasa, na kanuni yangu ya kwanza, Blogu ya kinyasa si fedha. Kuna Blogu zinaandika mambo ambayo yatawapeleka mahakamani endapo wahusika wataamua kuchukua hatua za kisheria. Kuweni makini. WanaBlog mko tayari kulipa KODI TRA? @Wazo tu hili la TRA ubunifu wa kodi. Lol
Posted on: Sun, 10 Nov 2013 13:57:27 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015