Je, ni kweli kwamba wabunge husika wa bunge la Afik Mashariki - TopicsExpress



          

Je, ni kweli kwamba wabunge husika wa bunge la Afik Mashariki (EALA) wanataka vikao vya bunge hilo viwe vinazunguka nchi zote za jumuiya ndio waone kwamba jumuiya ipo au kuna zaidi? Kama madai yao ni ya msingi, je walishwaza kuwaambia UMOJA WA MATAIFA (UN) kwa AFRIKA ambao mkao yake makuu ni NAIROBI,KENYA wawe wanahamisha hamisha mikutano yao kwenye nchi zote za Afrika ili wautambue huo umoja wa mataifa? Kwanini tunakuwa na akili finyu namna hii jamani?
Posted on: Tue, 03 Sep 2013 21:10:05 +0000

Trending Topics



height:30px;">
LaZior active Repair serum 活性修复精华液 Active Repair
Quando quer bater não pensa na hora Quando vem do amor não
DEWALT 5-Tool 20-Volt Max Lithium Ion Cordless Combo Kit DCK592L2
Every Wednesday Night @7pm is our music night here at GTU. Under

Recently Viewed Topics




© 2015