Je, ni sahihi kuamini kuwa kwa majibu wa nfululizo wa matukio na - TopicsExpress



          

Je, ni sahihi kuamini kuwa kwa majibu wa nfululizo wa matukio na kauli za hivi karibuni, Rwanda na Burundi ziliwahishwa kuaminiwa kuwa na hadhi sawa na memba wengine wa EAC?? Binafsi naona shida ya hawa jamaa.. matamanio yao hasa Rwanda kutaka kuwe na vitambulisho viruhusu raia wa jumuia kuishi na kutembea popote katika nchi wanachama naona hayana nia njem kabisa! Pamoja na matatizo yetu na siasa zetu mbovu bado tunapaswa kuwa wamoja kupinga dharau zozote kwa taifa.. Najua wanatamani sana ardhi ya Tanzania.. wasipewe nafasi!!
Posted on: Wed, 28 Aug 2013 17:46:41 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015