Jumanne September 17:Vijana wengi wanapenda kuwa maarufu na wenye - TopicsExpress



          

Jumanne September 17:Vijana wengi wanapenda kuwa maarufu na wenye ushawishi katika jamii inayotuzunguka na hii inatokana na kuvutiwa na baadhi ya watu ambao tayari wamefanikiwa katika hilo mfano ;wanamuziki,wanasiasa,watangazaji n.k ..Ili tuwe maarufu na wenye ushawishi katika jamii,vijana tunatakiwa tufanye nini na nini tuepuke?Tuzungumzie hili kwa pamoja na kutoa ushauri wa bure #NyumbaniNiNyumbani. tunein/radio/Times-fm-1005-s153321
Posted on: Tue, 17 Sep 2013 05:57:34 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015