KAA UKIJUA USIKU WA DENI HAUKAWII KUCHA. Kama maisha magumu - TopicsExpress



          

KAA UKIJUA USIKU WA DENI HAUKAWII KUCHA. Kama maisha magumu basi achana nayo fanya mambo mengine. HATA UWE NA UPENDO ZAIDI YA MALAIKA HUWEZI KUMBUSU NYUKI. Hata kama simu yako ina credits,haiwezi kwenda form five. WEUPE SIO DILI,UNGEKUA DILI MKAA USINGEUZWA! Piga ua nyumba yenye sakafu ya udongo haipigwi deki. MLEVI ANAWEZA KUKOSEA AKAINGIA NYUMBA YA JIRANI YAKE LAKINI HAWEZI KUKOSEA AKAINGIA KITUO CHA POLISI. Kumbuka hakuna jeneza la nyongeza hata ununue majeneza 1000. HATA REDIO INA SPIKA LAKINI KAMWE HAIWEZI KUENDESHA VIKAO VYA BUNGE. Ukitaka kujua saa haziendi we lala kituo cha polisi!
Posted on: Wed, 30 Oct 2013 06:22:55 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015