KAMA HAUKUJUA BASI JUA: Badala ya kubuni kitu na kuprint kwenye - TopicsExpress



          

KAMA HAUKUJUA BASI JUA: Badala ya kubuni kitu na kuprint kwenye karatasi, sasa unaweza kukipata kitu hicho kizima kizima kwa kutumia teknolojia ya 3D Printing. Mfano pichani ni viatu baada ya kumaliza ku print kwa kutumia printer ya 3D, kama ilivyoonyeshwa na kampuni ya 3D Systems Corporations. Unaweza tumia plastiki au hata kitu kama udongo kutoa hicho unachotaka kitokee katika muundo wa 3D. N:B Angalia picha hapa chini ya kiatu kilichotokana na 3D Printing.
Posted on: Wed, 16 Oct 2013 05:12:38 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015