KAMA ULIKUWA MFUATILIAJI WA HICHO KISTORY CHANGU CHA "misukosuko - TopicsExpress



          

KAMA ULIKUWA MFUATILIAJI WA HICHO KISTORY CHANGU CHA "misukosuko ya fredi" SOMA HAYA,,,,,,,,,kilikuwa kinawekwa mara mbili kwa siku kwenye wall yangu saa 12:00 mchana na saa 11 za jioni lakini kuanzia kesho takuwa ukikipata mara moja kwa siku 1:00 usiku kwakuwa hata ikipostiwa mara mbili haina maana pia anayepost hafaidiki na chochote kutoka kwa wewe unayesoma huchangii chochote hivyo anayeandika hajui kakosea wapi ili arekebishe,,,,,hutozwi pesa wala chochote zaidi ya kusoma tu lakini hutoi hata mawazo sasa ya nini?
Posted on: Tue, 30 Jul 2013 14:55:26 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015