KARIBU SANA KTK KIPINDI CHA MIKASA YA MAISHA KUTOKA RADIO 5 KILA - TopicsExpress



          

KARIBU SANA KTK KIPINDI CHA MIKASA YA MAISHA KUTOKA RADIO 5 KILA JUMAPILI KUANZIA SAA NNE KAMILI USIKU MPAKA SAA SABA USIKU ILI KUWEZA KUJUA MIKASA MBALIMBALI NA UWEZE KUELIMIKA NA KUJIFUNZA KUPITIA YALE YALIYOPITA KTK MAISHA YA MARAFIKI ZETU UNAMAONI GANI KUHUSU MIKASA YA MAISHA KUMBUKA KUWA KUTOKANA NA MAONI YENU TUMEAMUA KUHAMISHA KIPINDI KUTOKA SIKU YA ALHAMISI NA KUKIPELEKE JUMAPILI KUKUPA FURSA ZAIDI YA KUWEZA KUSIKILIZA MIKASA Usipende kusikiliza habari za watu kwani utakuwa na deni la kulipa kuwasimulia watu mambo yako Usimlaumu mtu kwa kukunyima mwalikonktk jambo lake ni dhahiri kuwa jambo hilo halikuwa na heri kwako Usipende kuuliza kila jambo kwani kunamajibu mengine yanayoeza kukuhuzunisha moyo wako Usipende kumsimulia kila mtu furaha yako kwani watesi wako hujifanya kufurahi pamoja nawe kumbe moyoni wanateseka MFANYE MUNGU KUWA RAFIKI WA KARIBU NA KUMSHIRIKISHA MAMBO YAKO KILA SIKU HAKIKA UTAKUWA MWENYE FURAHA SIKU ZOTE ZA MAISHA YAKO NIKUTAKIE SIKU NJEMA RAFIKI MPENZI MSIKILIZAJI WA RADIO FIVE NIKUKUMBUSHE KUENDELEA KUSIKILIZA MIKASA YA MAISHA LEO KUANZIA SAA NNE KAMILI USIKU HAPA RADIO 5 Nami Linus Kilembu
Posted on: Sun, 21 Jul 2013 17:48:08 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015