KARIBU UWEZE KUTOA MAONI YAKO:- 1.Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu - TopicsExpress



          

KARIBU UWEZE KUTOA MAONI YAKO:- 1.Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira Dk Terezya Huvisa, ameiomba Serikali na Baraza la Katiba kujadili suala la Wanawake katika kupatiwa nafasi za juu za uongozi. 2. Jeshi la Polisi limeombwa kumuongezea Ulinzi Waziri wa Uchukuzi Dk Harrison Mwakyembe kutokana na uthubutu hatari aliouchukua wa kupambana na mtandao wa dawa za kulevya nchini, Wito huo umetolewa na Mwenyekiti wa baraza la viongozi wa dini la kupambana na dawa za kulevya Alhad Mussa Salim. MENGINE mengi Karibu katika JIULIZE ya Bomba Special Show ya Kali za Bomba ya Bomba FM.... Bofya hapa kusikiliza online ustream.tv/channel/bomba-fm-radio-online
Posted on: Mon, 19 Aug 2013 19:34:57 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015