KENYA.-- Kuna makosa gani mtu, watu wakidai haki yao? nauliza hivi - TopicsExpress



          

KENYA.-- Kuna makosa gani mtu, watu wakidai haki yao? nauliza hivi kwa sababu yale yanayoendelea ndani ya, Kenya kwa sasa yanaonyesha jinsi hali ilivyo. ilichukua masaa kwa Bunge kupitisha mswada wa, nyongeza ya ,mishahara. Kwa msimamo mmoja wakapitisha. leo hii Walimu wanadai, kutetea haki yao kisha kunatokea vigaragosi fulani vinaanza kutoa vitisho. mimi si, mwalimu ila naunga mkono mgomo unaoendelea. inakuaje mnatumia mahakama kusuluhisha mkataba? hili kamwe halijawahi kutokea kwa nchi yeyote isipokua , Kenya. nani isiyejua kuhusu mahakamaza kenya? ni, mara ngapi tumekua tukishuhudia upendeleo, ubinafsi na dhulma zikitekelezwa na, korti? mdaku wangu aniarifu kua, mahakama za kenya ni sawa na, ngao ya kumkinga mtu, watu fulani. Isitoshe ..................... Itaendelea.
Posted on: Fri, 05 Jul 2013 20:43:26 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015