KIKWETE vs LISSU.... Kikwete anatetea yakwambia wakati Lissu - TopicsExpress



          

KIKWETE vs LISSU.... Kikwete anatetea yakwambia wakati Lissu anatetea yale aliyoshudia, kikwete anatetea yakwambia na viongozi ambao wameshafiliska kiharakati na kimawazo kama LUKUVI, WASIRA na CHIKAWE, wakati Lissu anasimamia hoja za wananchi. kikwete ameshindwa kuchanganya akili zake na zakuambiwa na ndio hali iliyompelekea muda wote kumuandama Tundu akidhani aliyosema Tundu ni mawazo yake wakati ni mawazo ya upinzani. KATIBA MPYA itapatikana kwa namna yoyote iwe kwa maandamano au kwa makubaliano. M4C
Posted on: Sun, 06 Oct 2013 07:16:00 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015