KUNA MAHUSIANO MENGINE BORA MTU UWE SINGLE TU UTA-ENJOY KULIKO - TopicsExpress



          

KUNA MAHUSIANO MENGINE BORA MTU UWE SINGLE TU UTA-ENJOY KULIKO HIVI (y) Upigiwi simu hadi umpigie (y) Utumiwi massage hadi umtumie (y) Usipomtafuta halalamiki wala hakuulizi (y) Ukimpigia simu anakwambia yupo busy (y) Ukimpigia simu usiku anakwambia anataka kulala au simu haina chaji, lkn ukikaa kidogo ukipiga tena unakuta inatumika HAHAHA! UKIONA HIVYO UJUE HAPO HUNA CHAKO WE KAA PEMBENI THEN UANGALIE USTAARABU MWINGINE WALA USISUBIRI KUAMBIWA #UMECHOKWA
Posted on: Sat, 30 Nov 2013 07:06:10 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015