KUNASABABU KUU NNE KWAMBA CHELSEA BADO ITAKUWA BINGWA WA CHAMPIONS - TopicsExpress



          

KUNASABABU KUU NNE KWAMBA CHELSEA BADO ITAKUWA BINGWA WA CHAMPIONS LEAGUE, ILE HALI YANGA PIA KUWA BINGWA WA VODACOM PREMIER LEAGUE Naandika kwa huzuni kubwa mala baada ya kuishuhudia Chelsea yangu ikifungwa na wakata miwa Basel mbaya zaidi pale pale Stamford Bridge tena tukiwa tumetangulia kufunga bao kutoka kwa fundi mwenye uwezo wa ajabu Oscar. Vivyo hivyo Yanga kupata sare katika mechi zake mbili pale uwanja wa Sokoine jijini Mbeya. Kama unaujuwa mpira utaungana na Mimi kusema kuwa Bado kunasababu nyingi sana zinazoifanya chelsea iwe bingwa wa Champions na Premier League na Yanga VPL. 1 ) Mpaka sasa ni game sita pekee kwa Chelsea kwenye Champions na Premier League, na nne kwa Yanga kwenye VPL. Mpaka sasa tumeishuhudia chelsea fc katika game sita tu na Yanga game nne tu katika msimu huu hii ikiwa ni chini ya 10% ya games zote ambazo tunategemea kucheza. Hivyo Siyo busara kutoa judgement muda huu, as if Liverpool au Simba SC wameshachukua vikombe, sote tunajuwa kuwa hizo ni mbwembwe tu. So kuweni wapole mazee, kunyweni beer juice, pamoja na viburudisho vingine! Huu ni msimu mrefu sana. 2) Mpaka sasa ni game sita pekee kwa Chelsea na nne kwa Yanga Wana michezo tunafahamu kuwa Football ni MCHEZO wakupanda na kushuka hivyo Siyo vyema kutazama matokeo ya games mbili nakuanza kupanic. Mpaka sasa chelsea imecheza games sita pekee chini ya mikono ya Jose Mourinho na Yanga ni msimu mpya wa Ligi kwa Ernest Brands, isitoshe Bado kuna mashimo yakurekebisha, So calm down mazee, kunyweni beer, juice pamoja na viburudisho vingine. Huu ni msimu mrefu mno 3) Mpaka sasa ni game sita pekee. Msimu ndo kwanza umeanza pia team Bado zinatafuta Mseto mzuri ziweze kucheza ki-team, Mourinho Bado anakiunda kikosi, ile hali Brandts amefumua kikosi na kutengeneza mchanganyiko wa damu mpya na zile za zamani nabado kidogo tutayasahau machungu yote. Hivyo kuweni wapole mazee kunyweni beer, juice na viburudisho vingine. Msimu Bado mrefu sana mazee. 4) Lakini pia ikumbukwe pia kwamba Chelsea kwa upande wa huko mbele, na Yanga kwa hapa Bongo na Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati ni timu kubwa, na bora, zikiwa zimesheheni wachezaji wazuri, na hata kutwaa ubingwa kwa msimu uliopita esp Yanga, hivyo ni wazi tu kwamba timu zingine zinakamia mechi hususani zinapokutana na timu hizo. Hivyo kuweni wapole mazee kunyweni beer, juice na viburudisho vingine. Msimu Bado mrefu sana mazee. Hivi nimetaja kuwa hii ndo kwanza game ya sita peke kwa chelsea na game ya nne tu kwa Yanga SC? Basi kuweni wapole mazee kunyweni beer, juice na viburudisho vingine. Msimu Bado mrefu sana mazee... at least katikati ya misimu wa ligi mnaweza kuongea!
Posted on: Thu, 19 Sep 2013 07:15:26 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015