KUna taarifa kuwa Chama cha demokrasia na MAendeleo (CHADEMA) - TopicsExpress



          

KUna taarifa kuwa Chama cha demokrasia na MAendeleo (CHADEMA) kimewaandaa vijana kwake kufanya vurugu katika maeneo ambayo Rais wa Marekani BARACK OBAMA atakapokuwa akipita ili kuifedhehesha serikali ya Tanzania katika jumuiya ya kimataifa. Miongoni mwa vurugu hizo zimetajwa kuwa ni pamoja na kuzomea misafara, Mabango yenye ujumbe mbalimbali na kurusha mawe. Maeneo ambayo vijana hao watatakiwa kuwa na kuibuka katikati ya wananchi watakokuwa wamejitokeza kumlaki rais huyo yametajwa kuwa ni pamoja na Uwanja wa KIpawa, vingunguti, barabara ya kuelekea ofisi za tigo.
Posted on: Sun, 30 Jun 2013 07:53:19 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015