KWA KIJANA! Unaenda kwa jamaa na kukaa saa nne mpaka sita eti - TopicsExpress



          

KWA KIJANA! Unaenda kwa jamaa na kukaa saa nne mpaka sita eti mnapiga stori,jamani una miaka ishirini/thelathini ina maana hujitambui,kwanini ukae kwa jamaa na kupiga storimuda wote huo? huna la kufanya au uvivu wa kufikiri,angalia mapori kule Morogoro kwanini usiende kutafuta shamba ukalime. "Maisha magumu sana" Umekalia kulalamika tu Kumbe ulitaka yawe rahisi kwa kukaa kijiweni na kupiga stori na kibaya zaidi unaepiga nae stori ana maisha yake tena safi. ****SIO KILA ANAEKUITA UENDE KWAKE BASI UKAKAE NAE SAA MBILI ETI MNAPIGA STORI,YEYE ANATAKA KAMPANI TENA MUDA MWINGINE UNAMPA MAWAZO MAZURI YA UWEKEZAJI NA ANAYAFANYIA KAZI,UMEKAA UNASHANGAA TU**** JIPANGE.
Posted on: Thu, 26 Sep 2013 03:40:40 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015