Kacha enzi na utukufu wote mbinguni,kaja duniani kafanana - TopicsExpress



          

Kacha enzi na utukufu wote mbinguni,kaja duniani kafanana nami,kabeba msalaba wa dhambi zangu,kaniokoa niko huru,yeye ni dakitari simba wa yudaa,mkate wa uzima,maji ya uhai,mfale wa wafalme mganga wa waganga,jemedare,jemedareeeeee!...kwa maana jinsi Mungu aliupenda ulimwengu kamtoa mwana wake wa pekee,ili mimi na wewe,na wewe tuokolewee eeeh!! Mi nashanglia shangilia,ooooh oooh shangilia shangiliaaa ooooh oooh shangilia shangilia nimepata wokovu! Haleluyah.....laleni poa Yesu ni Bwana
Posted on: Thu, 04 Jul 2013 18:45:19 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015