Kaka mkuu ni 1 tu, kuhakikisha hadi kufikia 2015 unakuwa teyari ni - TopicsExpress



          

Kaka mkuu ni 1 tu, kuhakikisha hadi kufikia 2015 unakuwa teyari ni mwanachama Hi wa upinzani na unakadi yako halali kabisa ya kupigia kura alafu kwa pamoja 2naungana na wa2 wa Mtwara, wamama wajawazito, wafanyabiashara wadogo wadogo (machinga), watu wote wanaomiliki simu za mkononi ambao hivi punde2 tutakuwa na mzigo mkubwa wa kodi ktk matumizi ya hizo simu ze2 kwa maana ya zoezi zima la unuaji wa salio. Kwa pamo1 tukaseme sasa yatosha, na kusaport M4C kwa nguvu ze2 zote ninaimani kwa pamoja 2taweza. Mungu ibariki ChaDeMa! Mungu ibariki Tanzania,!!
Posted on: Sun, 21 Jul 2013 01:16:30 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015