Kama ccm ingezalisha vijana wengi wenye ujuzi wa kujenga hoja - TopicsExpress



          

Kama ccm ingezalisha vijana wengi wenye ujuzi wa kujenga hoja bungeni kama hawa tangu tulipopata uhuru Tz ya leo ingekua imesonga mbele na tusingekua kama tulivyo ila haya yote yamesababshwa na viongoz wabovu wa ccm ambao wamekaa bungeni kwa muda mrefu wakilala tu bungeni huku vikao vikiendelea, na matunda yake ni kukosa maendeleo na kuanza kumtafuta mchawi ni nani na wakati bungeni tuliingiza waheshimiwa waliokwenda kulala ila kwa sasa kila Mtanzania amekua akifuatilia bunge baada ya Chadema kuwapika vijana wachache na kuwaingiza bungeni huu ni ukweli usiopngika vjana wana mambo ya msingi sana na hii inadhihilisha 2015 wananchi wataongeza wabuge wengi kutoka chadema na pia hata Rais ninaimani atatoka Chadema na kwa wanaoamini ccm daima mimi nawaambia tangu nmeanza kusoma histor sijawahi kuona utawala ukatawala daima kuna the Rise of and the fall of, na sasa tunaona ishara za kuanguka kwa utawala wa ccm 2015 mimi naamini hivyo Ukipnga weka hoja ya msingi au subili 2015 ni si mbal;i sana ujionee tuombe uzima.
Posted on: Wed, 16 Oct 2013 20:34:46 +0000

Recently Viewed Topics




© 2015