Kamati ya Maridhiano Six SAKATA LA MSWADA BUNGENI - MAONEVU NA - TopicsExpress



          

Kamati ya Maridhiano Six SAKATA LA MSWADA BUNGENI - MAONEVU NA SIASA CHAFU Leo Baraza la Katiba limepinga kutoshirikishwa kutowa maoni katika Mswada wa Marekebisho ya Sheria iliopitishwa kibabe SHERIA zote mbili hazikufanyiwa mabishano (public hearing) kwa upande wa ZANZIBAR. FAHARIYA na ABDULLA SHARIA ndio waliopinga KWA NGUVU zote Kamati ya... Katiba isije ZANZIBAR. Wakati Umewadia Kila Msaliti wa Zanzibar AANIKWE HADHARANI Kwa Kuanzia na WABUNGE - FAKHARIYA na ABDULLA SHARIA wa DIMANI....MAKAMO Wa PILI BALOZI SEIF IDDI nae Pia Kuna UMUHIMU KUMBANA KABARI NZITO NA KWA KUUNGAMA BUNGENI KWA UWAZI USALITI NA UVUNJAJI TARATIBU ZETU KI SHERIA ZA KUTAFUTA KATIBA KWA NJIA ZA UTAWALA BORA....Huyu Ndie Mwenye Cheo cha Juu na amefikia kuihujumu ZANZIBAR! Tunauliza: ameubeba MRENGO wa KISIASA au ni hisia zake BINAFSI, na WANANCHI wachukue hatua gani kwa kiongozi wa NAMNA HII? Anatufaaje kiongozi wa NAMNA HII? MWANASHERIA MKUU ZANZIBAR na Waziri wa KATIBA NA SHERIA ZANZIBAR pamoja na MAKAMO WA PILI WA RAIS wao kwa pamoja ndio SMZ. Sasa kama MAKAMO WA PILI ameletewa muswada na katoa maoni basi tujaalie kwamba Mwanasheria Mkuu na Waziri wa Katiba na Sheria wameshirikishwa kwa sababu hili ni suala lao kisekta. Haitegemewi kwa suala zito kama hili MAKAMO Wa PILI WA RAIS alikabili BILA kuwashirikisha hao wawili! Kama aliwapiga bao la kisigino huo ni udhaifu wao wenyewe wa utendaji wao wandani. Na kama ni hivyo basi kazi ipo. Lawama ipo kwa Kamati ya Bunge ya Katiba, Sheria na Utawala na hivyo Kupelekea Bunge Kupitisha KIBABE Huu Mswada na Kujua Fika Kwamba Kumepuuzwa matakwa ya kisheria ya kufanya mabishano (public hearing) ili kupata maoni ya wadau. Hivyo Basi Wakati Umefika MITANDAO YOTE TUYAONE NA TUYAJUE HAYA NA TUTANABAHISHE WENZETU YAANIKWE WAZI..... Ni Muhimu Tuzinduke na hii hoja Nzito Kwamba hakukuwa na public hearing kwa upande wa ZANZIBAR kama walivyofanya kwa BARA wao wakisisitiza Ki USANII na Ki UDANGANYIFU Kwamba Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais ZANZIBAR ilihusishwa. Hoja sio hio. Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais bado ni SERIKALI kama Ilivyo Ofisi ya Makamo wa Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Kule Bara. Na yeye MAKAMO Wa PILI kathibitisha jambo ambalo halijabishaniwa!!! ATI HII NDIO SIASA SAFI NA UONGOZI BORA???
Posted on: Sun, 08 Sep 2013 13:35:21 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015