Kamawangekuwa Peter Kimeu au Elina Sifuna wa sasa,na tuseme - TopicsExpress



          

Kamawangekuwa Peter Kimeu au Elina Sifuna wa sasa,na tuseme waripoti moja kwa moja kutoka inchini Madagascar,wangenena haya. Au tuseme kaa ingekuwa mimi ndio niko pale: mkondo wa lala salama hapa,kwenye jukwaa ni gari nambali ..gari aina ya Subaru lake Jassy Singh na mwenzake Dave Sihoka. Itakumbukwa kuwa haya ndio yalikuwa mashindano ya kumtambua dereva mbora Afrika na kivumbi kilitazamiwa kutifuka kati ya huyu Mzambia Jassy Singh na mpinzani wake mkuu Mganda Jas Mangat. Baada ya kushikilia uongozi Ijumaa na kwa mda jana Jumamosi,dereva Jas Mangat alionekana mwenye nafasi na nia ya kutwaa taji walakini maji yalizidi unga na aliyaaga mashindano baada ya gari lake aina ya Subaru kuleta hitilafu za kimitambo. Kwa sasa,wengi wanampigia upato Jassy Singh na Dave kutwaa hili taji. Itakumbukwa pia Jassy alieleza kuwa gari lake lilikumbwa na shinda ya usukani jana,shinda ambayo imeshughulikiwa na asema gari liko imara. Akihojiwa mda mfupi uliopita,Singh amesema kuwa ni mapema sana kusema bali aweka maulana mbele awatendee mema...anaondoka jukwaani,Jassy Singh na Dave Sihoka,mgurumo wa hili gari ni ishara tosha kuwa liko imara na huenda,huenda likatwaa hili taji msimu huu,anashangiliwa kwelikweli akifululiza kutoka hapa.. Jassy Singh na Dave Sihoka,gari aina ya Subaru laondoka na kuanza rasmi hatua ya mwisho ya mashindano haya.. Compelled 2 say this by those beautiful n sweet memories of yester years,b4 our lovely baby WRC Safari Rally was taken away by FIA in 2002.
Posted on: Sun, 10 Nov 2013 06:19:44 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015