Karibu msikilizaji katika Amka na BBC. Miongoni mwa - TopicsExpress



          

Karibu msikilizaji katika Amka na BBC. Miongoni mwa tuliyowaandalia hivi leo; *Wananchi wa Zimbabwe hivi leo wapiga kura za Urais na ubunge huku upinzani ukilalamika kuhusu usajili wa wapiga kura *Kikosi cha usalama cha kulinda amani MONUSCO, kimetoa saa 48 kwa waasi mashariki mwa DRC kusalimisha silaha ama wanyang’anywe *Na Raia wa Rwanda waliokuwa wakimbizi nchi za nje waanza kurejea nyumbani lakini wengine waomba hadhi ya ukimbizi katika mataifa mbalimbali
Posted on: Wed, 31 Jul 2013 02:10:13 +0000

Trending Topics



has
Is God a Failure? - Eleanor Garrod Now that’s a pretty poignant
Família de produtor rural vive momentos de terror na mira de
UPDATE: My friend, Sam, is still looking for a job. In order to
Kane mbetur edhe pake dite...... Mesimi per gjeneraten e 8:te

Recently Viewed Topics




© 2015