Karibu msikilizaji, miongoni mwa tuliyokuandalia katika Amka na - TopicsExpress



          

Karibu msikilizaji, miongoni mwa tuliyokuandalia katika Amka na BBC asubuhi hii nami Paul Nabiswa ni; *Rais Barack Obama ataka kuwe na utulivu Marekani baada ya kijana Mweusi kuuawa na bawabu mweusi. *Maelfu ya wakimbizi wa Congo waendelea Kumiminika Uganda huku Serikali ya Museveni kuomba msaada kukidhi idadi kubwa. *Marekani yamtuma afisa wake nchini Misri, huku mgogoro wa kisiasa ukiendelea. *Na Tanzania yatafakari kuhusu mauaji ya askari wake saba wa kulinda amani huko Darfur, Sudan
Posted on: Mon, 15 Jul 2013 01:13:29 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015