Katika wachezaji sita wa Manchester United wanaoshika nafasi za - TopicsExpress



          

Katika wachezaji sita wa Manchester United wanaoshika nafasi za juu kwa kusajiliwa kwa bei ghali; 1. Ni mchezaji gani amelipa kwa kuonesha kiwango kizuri na kuisaidia timu kulingana na thamani yake? 2. Ni mchezaji gani alikuwa usajili mbaya na hakustahili thamani aliyonunuliwa? 1. Dimitar Berbatov. Toka Spurs kwa ada ya £30.75m. 2. Rio Ferdinand. Toka Leeds United kwa ada ya £29.30m. 3. Juan Sebastian Veron. Toka Lazio kwa ada ya £28.10m. 4. Maroane Fellaini. Toka Everton kwa ada ya £27.50m. 5. Wayne Rooney. Toka Everton kwa ada ya £27.00m. 6. Robin Van Persie. Toka Arsenal kwa ada ya £24.00m. NOTE. Fellaini anahitaji muda wa kumwangalia kwa kuwa ni mchezaji mpya. KT
Posted on: Wed, 04 Sep 2013 17:33:14 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015