Katoka kijijini, mshambaaa, hata kuvaa hajui,, tena katua kwa - TopicsExpress



          

Katoka kijijini, mshambaaa, hata kuvaa hajui,, tena katua kwa shemeji yake, aliyemuoa dada yake hapo jirani na kwenu, mkawa mnamtania kuwa yeye na dada yake wote wameolewa na huyo Shemeji yake. Akawapuuzia. Kwa vile nyie waDar, Wajanja wa Sinza, Wakishua, kulala sanane usiku- of course, kazi ni kuwochi movies, series na weekend ni clubbing. Kuamka je? Satatu hadi tano asbuhi, inategemea na bata za jana. Mshamba akaanza kila siku hamumwoni, sakumnambili nduki, sambili usiku kurudi, mchaka mchaka mwaka mzima. Mwaka unaofuatia mnaskia kahama kwa dada yake, kapanga chumba kimoja mtaa wa pili. Mwaka unaofuatia, ananyuka pamba kulizo zenu matozi, Xmas ya pili Dar, huamini umemkuta na Dada yako Coco Beach. Kakumbatia kiuno kilicholegea mfupa. Unaanzisha ugomvi. Wanini? Unataka umuoe dada yako? We si unaangalia Bongo Movie, mwenzako katoka kijini kaja kuzicheza, sistaako mshika maiki na Director wa costumes za jamaa!! Chezeeni muda vijana, mtabaki hivyo hivyo. . #NkaleZanguLanchiMie.
Posted on: Tue, 05 Nov 2013 10:14:30 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015