Khaa kuna watu wamevurugwa kweli.... Yaani una week toka umejiunga - TopicsExpress



          

Khaa kuna watu wamevurugwa kweli.... Yaani una week toka umejiunga Fesibuku afu unalalamika wa2 wanaroho mbya hawa like wala kukomenti status Jamani kuna watu toka uhuru wa Tanzania tumo humu lakini ndo zile likes 2~Comment 0 tena hizo likes ni za babaako na mamaako kama wako fb Afu wewe unalalamika umekuwa OBAMA ujiunge leo upate Likes 105000 na Comments 200000 hahahahahaha Kwa fb utangoja sana kama ujio wa mara ya pili wa Yesu Kristo
Posted on: Fri, 12 Jul 2013 23:37:15 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015