King love story (sehem ya 6) usaliti wa - TopicsExpress



          

King love story (sehem ya 6) usaliti wa mapenziiiiiiiiiiiiiiii ................................................... Dem alipokuwa anafanyiwa vile akawa anakataa huku akiwa anampenda kimoyoni moyoni yule boss mara baada ya mda mlango unagongwa dem anatoka nje anaangalia mumewe akawa amemfata j4 alimshukulu jamaa kwa kumsaidia mkewe lakini alikuwa analake moyoni hakuweza kumwambia lolote mkewe sababu anampenda hali iliendelea kuwa mbaya kimapenzi ndani ya nyumba ya j4 lakini kila siku aachi kuomba mungu sasa yule rafiki wa yule dem aliendelea kumueka sawa yule dam kwa kumletea zawadi za apa na pale kumuweka sawa ilifika bath day ya yule dem yule boss alimletea kila aina ya zawadi miksa nguo kibao dem akawa kawai kuludi nyumbani kabla ya mumewe sasa mumewe kwa mawazo na kazi yake ngumu ya udokta alikuwa kasahau km leo bath day ya mkewe bs dem alilia na kujua mumewe amjali usiku j4 akakumbuka km leo siku ya kuzaliwa mkewe alimuomba msamaha na kumwimbia mziki uku akimfulaisha dem alimsamehe lakini dem analake moyoni ilipofika asubui dem kaenda kazini akakutana na yule boss wakapanga kukutana yule boss alivyokuwa mshenzi akamchukua wakaenda zanzibar asubui ata kazini hakuingia wakaenjoi sn mara boss kachukuwa chumba otelini unajua kilichoendelea ndani.......kunawatu washenz usikose ......Kiswakingi.....
Posted on: Thu, 12 Sep 2013 06:53:21 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015