Kitendo cha Kenya kuitenga Tanzania na kuamua kujiunga na Uganda - TopicsExpress



          

Kitendo cha Kenya kuitenga Tanzania na kuamua kujiunga na Uganda na Rwanda ni kitendo cha aibu na labda kwa sababu rais Uhuru Kenyatta hajui historia ya Africa Mashariki. Wakenya hamna budi kupaza sauti zenu katika hili! Rwanda kukaribishwa katika jumuhia ndo iwe chanzo cha kuvunja muungano wetu huku Uhuru Kenyatta kufuata mkumbo kwa kushawishiwa na wababe wa vita vya msituni bila kuchangunua kwa makini umuhimu wa Tanzania katika ushirika wa Afrika mashariki.
Posted on: Wed, 06 Nov 2013 18:18:23 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015