Ktk Nipashe ya Radio One utasikia ……Watu saba wamefariki - TopicsExpress



          

Ktk Nipashe ya Radio One utasikia ……Watu saba wamefariki dunia papo hapo na wengine watano wamejeruhiwa vibaya katika ajali iliyohusisha gari dogo aina ya Noah na lori huko mkoani Morogoro …..Waziri mkuu Mh mizengo pinda ameongoza maelfu ya wananchi na viongozi mbalimbali katika maziko ya mjumbe wa tume ya katiba marehemuu DR SENGONDO MVUNGI yaliyofanyika kijijini kwao kisangara juu wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro …..Wafanyabiashara wa maduka katika eneo la kariakoo jijini Dr es salaam wamegoma kufungua maduka yao kwa kulalamikia ujio wa mashine za EFD kutoka mamlaka ya mapato Tanzania TRA. Ungana na MAULID KAMBAYA saa 12 : 30 Asubuhi
Posted on: Tue, 19 Nov 2013 02:49:03 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015