Kuku ni kuku,jogoo ni jina tu Japo Zipu ina meno lakini - TopicsExpress



          

Kuku ni kuku,jogoo ni jina tu Japo Zipu ina meno lakini haipigwi mswaki.. Na Ugali hata uwe wa moto vipi huwezi kuwashia sigara.. Tambua pia hakuna Airport ya Kuku japo naye ni Ndege.. Mungu akiwa dereva maishani mwako shetani haombi lifti. Hata uwe na degree zaidi ya mia huwezi kuota ndoto kwa kiingereza. Hata uwe na kontena ya viatu lazima ulale mguu chuma. Hata uwe na kiburi aje, ukienda haja kubwa lazima uiname. hta nyani awe mjaja aje awezirukia branch ya bank!
Posted on: Fri, 01 Nov 2013 03:57:39 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015