Kuna ndogo ndogo (tetesi) zisizo rasmi (nasisitiza tena... zisizo - TopicsExpress



          

Kuna ndogo ndogo (tetesi) zisizo rasmi (nasisitiza tena... zisizo rasmi) kuwa Ikulu inahaha na uongozi wa juu wa TEC na wale wengine ili utoe tamko kuwa jina aliloteua rais Kikwete la mjumbe TEC kwenye tume ya katiba lilipitishwa na uongozi wa juu wa TEC! Tamko linatakiwa liseme kuwa uongozi wa juu wa TEC ulifanya 'marekebisho' kwenye listi iliyokuwepo mwanzoni kabla ya kupeleka majina kwa rais..... Lengo ni kuwa ionekane Lissu ni mwongo, mzushi na mzandiki kama ilivyosemwa..... Let us stay tuned....
Posted on: Tue, 08 Oct 2013 08:18:21 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015