Kuna ndugu yangu aitapeliwa,kama 1.8 Mil hivi huko Mbeya, na - TopicsExpress



          

Kuna ndugu yangu aitapeliwa,kama 1.8 Mil hivi huko Mbeya, na waliomtapeli walitumia simu, aliripoti polisi,hadi leo anazungushwa toka mwaka jana December. Mimi leo nimeenda ITV nimetoa namba mpya, kuna tapeli hapa kapiga ameongea na mimi dkk 12 hivi, stori ndefu sana, nimegundua ni tapeli. Kifupi anasema aniunganishe dili la million 8 hivi. Kanipa namba ya mwenzake, nimpigie. NAULIZA SERIKALI ILISEMA TUSAJILI SIMU KUDHIBITI UHALIFU, MBONA HAWATOI USHIRIKIANO. Naombeni namba za IGP,DCI, PCCB nione mwisho wa hili. hatuwezi kuptezeane muda, mamlaka zifanye kazi zao.
Posted on: Tue, 20 Aug 2013 07:25:13 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015