Kuna uhuru wa habari na uhovyo wa habari. Ingawa vyote ni sehemu - TopicsExpress



          

Kuna uhuru wa habari na uhovyo wa habari. Ingawa vyote ni sehemu ya maendeleo ya kimasikini lakini ni wajibu wetu kuwa wakali dhidi ya wanaochakachua uhuru wa habari kwa kuutumia kuendeleza uhovyo wa habari.... Baada ya miaka ishirini ya safari ndefu ya demokrasia ya ushindani tunapaswa kuanza kutilia mkazo umuhimu wa demokrasia makini dhidi ya demokrasia hovyohovyo na utamaduni maridhawa wa kidemokrasia katika vyombo vya habari na wanahabari ni sehemu ya jukumu hilo hivyo wanawajibika kuwa sura ya mabadiliko yanayotamaniwa na watanzania wengi!
Posted on: Wed, 26 Jun 2013 06:16:28 +0000

Recently Viewed Topics




© 2015